Welcome to TANZANET - General Information  

Diwani ya Tanzanet

 
Diwani


 

Diwani ya Tanzanet - Toleo la Pili: July 2002  

Kumbukumbu ya marehemu Hamidu R. Tambwe.

Karibuni wapenzi wa mashairi katika toleo la pili la Diwani ya Tanzanet. Toleo hili linatolewa kwa kumbukumbu ya marehemu Hamidu R. Tambwe - ndugu yetu, malenga, mpenzi mwenzetu wa fani hii ya mashairi ambaye Mwenyeezi Mungu (Mwenye Kurehemu) alimchukua mapema mwezi wa Saba mwaka 2002. Tungo zilizomo katika toleo hili zote ni za kwake marehemu Tambwe ambaye aliziandika katika kipindi cha muda wa miaka kadhaa wa maisha yake. Ni matumaini ya Diwani ya Tanzanet kuwa wote mtaburudika na tungo hizi.

Kamati ya Wahariri,
DIWANI YA TANZANET.

Yaliyomo katika toleo hili:

1.

Historia Fupi ya Hamidu Tambwe

Kamati ya Wahariri (Diwani ya Tanzanet)

Kumbukumbu
(PDF-Format)
2.

Angalia Sana

Hamidu R. Tambwe

Shairi
(PDF-Format)
3.

Baba Yangu Nisikize

Hamidu R. Tambwe

Shairi
(PDF-Format)
4.

Inda

Hamidu R. Tambwe

Shairi
(PDF-Format)
5.

Mafumbo

Hamidu R. Tambwe

Shairi
(PDF-Format)
6.

Uvumbuzi

Hamidu R. Tambwe

Shairi
(PDF-Format)
7.

Mwacheni

Hamidu R. Tambwe

Shairi
(PDF-Format)

Feel free to enter your comments in our forum. 
Your thoughts are important!

"In order to access these documents you will need to install Acrobat Reader version 4 or higher. You can get this free by clicking the 'Get Acrobat Reader' icon below."



Mratibu: Aziz Ponary Mlima

Submissions are encouraged, please send them to: diwani@tanzanet-online.org




 

Copyright © 1999 TANZANET - The Tanzanian Electronic Networking Community. All rights reserved.
We welcome your questions & comments about this site.