Welcome to TANZANET - General Information  

Diwani ya Tanzanet

 
Diwani


 

Diwani ya Tanzanet - Toleo la Tatu: September 2002

UTANGULIZI

Karibuni tena wapenzi wa mashairi na tenzi katika Toleo la 3 la Diwani Ya Tanzanet. Toleo hili lina utajiri wa mashairi kutoka malenga mbali mbali wenye kutumia mbinu tofauti katika tungo zao na hivyo kufanya tungo za toleo hili kuwa na ladha tofauti. Kuna mchanganyiko wa watunzi wa miaka mingi - waliobobea - kama vile Ustadh Amiri Andanenga (Sauti ya Kiza), Ustadh Mkwinda, na marehemu Hamidu Tambwe, na vile vile kuna tungo za watunzi wanaoinukia sasa. Mchanganyiko huo unafanya toleo hili kuwa lenye ladha ya kipekee, na hatua katika mapana na marefu ya watunzi wanaochangia katika Diwani Ya Tanzanet.

Shukran

Mhariri Mkuu
DIWANI YA TANZANET.

Yaliyomo katika toleo hili:

1.

Chachandu Chachu

Ustadh Rashid I. M. Mkwinda (Ngominenga)
Kilwa Kivinje

Shairi
(PDF-Format)
2.

Huyu ni Kaka

Hamidu R. Tambwe
(Julai 1970)

Shairi
(PDF-Format)
3.

Kila Mtenda Fadhila

Jumanne Mungule
Pugu - Kisumu

Shairi
(PDF-Format)
4.

Kisu Changu

Amiri A. S. Andanenga (Sauti ya Kiza)
Kinondoni - Shamba, Dar es salaam

Shairi
(PDF-Format)
5.

Maji Hushuka Mlima

Hamidu R. Tambwe
Mbeya (Desemba 1967)

Shairi
(PDF-Format)
6.

Mke wa Pili

Mwamedi J. W. Semboja (Kighono Mbeungwa)
Oslo, Norway (August, 2002)

Shairi
(PDF-Format)
7.

Mpende Akupendae

Hassan Adam (HAU)
Cologne, Ujerumani (August, 2002)

Shairi
(PDF-Format)
8.

Mzidi Kuendelea

Hamidu R. Tambwe
Mbeya (Novemba 1967)

Utenzi
(PDF-Format)
9.

Nigeria Dhidi ya Biafra

Hamidu R. Tambwe
Mbeya (Septemba 1968)

Shairi
(PDF-Format)
10.

Pendo Hili Pendo Gani na Kwangu Lanitakani?

Yusuf Kalala
Washington D.C. (August 2002)

Shairi
(PDF-Format)
11.

Pendo la Khaini

Mwamedi J. W. Semboja (Kighono Mbeungwa)
Oslo, Norway (August, 2002)

Utenzi
(PDF-Format)
12.

Rajab Saleh Tambwe

Hamidu R. Tambwe
Mbeya (Februari 1968)

Utenzi
(PDF-Format)
13.

Sera ya Utamaduni (Uzinduzi)

Amiri A. S. Andanenga (Sauti ya Kiza)
Kinondoni - Shamba, Dar es salaam

Shairi
(PDF-Format)
14.

Wosia

Hassan Adam (HAU)
Cologne, Ujerumani (Julai, 2002)

Shairi
(PDF-Format)
15.

Wosia - Jibu

Yusuf Kalala
Washington D.C. (Julai 2002)

Shairi
(PDF-Format)
16.

Wosia - Pendo Ndilo Muhimu

Christopher Chacha Mwita (CCM)
Alabama, USA (Julai 2002)

Shairi
(PDF-Format)
17.

Wosia - Swali

Yusuf Kalala
Washington D.C. (Julai 2002)

Shairi
(PDF-Format)

Feel free to enter your comments in our forum. 
Your thoughts are important!

"In order to access these documents you will need to install Acrobat Reader version 4 or higher. You can get this free by clicking the 'Get Acrobat Reader' icon below."



Mratibu: Aziz Ponary Mlima

Submissions are encouraged, please send them to: diwani@tanzanet-online.org




 

Copyright © 1999 TANZANET - The Tanzanian Electronic Networking Community. All rights reserved.
We welcome your questions & comments about this site.