|
TANZANET-KANDORO
PRIZE
TANZANET - Tuzo ya
Kandoro 2003
Jopo la TANZANET la Tuzo
ya Kandoro kwa niaba ya
Jumuiya ya TANZANET
linayo furaha kumtunukia
Mshindi wa Tuzo hiyo kwa
mwaka 2003 Malenga Ustadhi
Amiri Sudi Andanenga
(Sauti ya Kiza) kwa
mchango mkubwa na umahiri
wake katika ushairi ikiwa
ni pamoja ukuzaji wa lugha ya
Kiswahili. Watanzania,
marafiki wa Tanzania na
wapenzi wote wa Kiswahili
sehemu mbalimbali duniani
wanayo furaha kuikabidhi
tuzo hiyo kwa Ustadhi
Andanenga kwa kazi zake
mbalimbali magazetini,
redioni pamoja na
vitabu vyake vya ”Diwani
ya Ustadhi Andanenga” na
kile cha ”Bahari ya Elimu
ya Ushairi”.
Certificate of
Merits
TANZANET Kandoro Prize
Committee, on behalf of
the TANZANET Community
awards a 2003 Tanzanet
Kandoro Prize to poet
Amiri Sudi Andanenga
(Sauti ya Kiza) of
Kinondoni Shamba Dar Es
Salaam, Tanzania.
The prize has been awarded
in recognition of Poet's
mastery of Kiswahili verse
and contribution to the
language. He has produced
extensive body of work in
newspapers and for the
radio and especially his
epic work ”Diwani ya
ustadhi Andanenga” and ”
Bahari ya elimu ya
ushairi”
|
2003 Presentation pictures
|
|
Dr. Aziz
Ponary Mlima
|
Ms.
Gertrude N.
Malai
|
|
Chairperson,
2003
|
Representative
Member
|
|
Kandoro Prize
Committee
|
Kandoro Prize
Committee
|
|
Gothenburg-Sweden
|
Dar Es
Salaam-Tanzania
|
|